Nyimbo

Tunayo furaha kuweka hapa rekodi ya nyimbo ishirini na nne ambazo hujitokeza katika masomo yetu ya Daraja la 1, sambamba na nyingine nyingi zaidi ambazo zinaweza kuwa zinaimbwa na watoto katika miaka ya baadaye. Tafdhali jisikie huru kupakua nyimbo na kuzitumia katika shughuli zenu za kielimu. Kwa nyongeza, inaruhusiwa kuzitafsiri na kurekodi nyimbo hizi katika lugha mbalimbali, ikizingatiwa kwamba pasiwepo rekodi ya nyimbo itakayouzwa au kutumiwa katika makusudi ya kibiashara katika njia yoyote ile.

Ukurasa huu utasasishwa kutoka muda hadi muda, kadri nyimbo za nyongeza zitakapokamilika; pengine unaweza kuangalia ukurasa mara kwa mara kwa ajili ya jumbe mpya zilizowekwa.

Inaonesha iliyoongezwa hivi karibuni or iliyoboreshwa.

Nyimbo katika