Zana katika lugha yenu

Mnakaribishwa kupakua hapa matoleo mapya zaidi ya vitabu saba vya kwanza katika mlolongo wetu mkuu na kozi za mchepuo, katika lugha yoyote unayochagua.

Wote wanakaribishwa kuvisoma vitabu na kujadiliana maudhui yao pamoja na marafiki wachache. Vitabu havikuandaliwa kwa ajili ya ujifunzaji wa mtu binafsi, na faida kubwa zaidi inayopatikana kutokana na kujihusisha na majadiliano juu ya maudhui na wengine, huanza na Kitabu cha 1.

Tunaomba kwamba kiwe ni kitabu au sehemu yake yoyote isipakuliwe katika tovuti nyingine katika mtandao au majukwaa ya hifadhi ya mawingu au kuwa zitatumika kwa makusudi ya kibiashara au katika njia amabzo ni kinyume cha roho ya zana zenyewe au zisizowasilisha maudhui yao.

Kama utapendelea kujifunza vitabu katika kikundi na mkufunzi mwenye tajiriba, unakaribishwa kuwasiliana na jumuiya ya Kibahá’í iliyopo karibu yako, kwa kutumia orodha hii. Unaweza pia kuandika kweye barua pepe hii sfruhidist@ruhi.org kwa msaada.

Mlolongo mkuu wa kozi